KONGAMANO LA TATU LA KITAIFA LA HUDUMA ZA MAKTABA, MAONESHO YA VITABU NA USOMAJI

KONGAMANO LA TATU LA KITAIFA LA HUDUMA ZA MAKTABA, MAONESHO YA VITABU NA USOMAJI
Tuesday Sep 19, 2023
07:00-12.30
Mwanza
TLSB imeandaa Kongamano la Tatu la Kitaifa la Huduma za Maktaba, Tamasha la Vitabu na Usomaji.
Kongamano hili linatarajiwa kufanyika tarehe 19 - 21 mwezi Septemba, 2023, katika Ukumbi wa Mikutano wa BOT, Kapri Point, jijini Mwanza.
Mada mbalimbali zitawasilishwa sambamba na Tamasha la Vitabu na Usomaji.
Kongamano la kwanza lilizinduliwa rasmi mwaka jana 2021 jijini Dodoma na kukutanisha wadau mbalimbli wa masuala ya Ukutubi.