Nini mpango wa TLSB katika kutumia teknolojia ya kisasa kuboresha huduma zake?
TLSB kwa sasa ipo katika mpango wa kuuboresha mfumo wake wa huduma za Maktaba kwa kuuendeleza, kuusimika na kuusimamia mfumo wa Maktaba Mtandao wa Taifa (Integrated National Digital Library System) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA) .