Watumishi
Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania ina jumla ya Watumishi 288 nchi nzima.
Watumishi hao wamegawanyika katika makundi yafuatayo;
1. Wakutubi
2. Wahasibu
3. Maafisa Hesabu
4. Maafisa Rasilimali watu na Utawala
5. Wakaguzi wa Ndani
6. Watunza Kumbukumbu
7. Maafisa Tehama
8. Maafisa Habri na Mahusiano
9. Wanasheria
10. Maafisa Mipango
11. Maafisa Ugavi na Ununuzi
12. Wakufunzi
13. Maafisa Miliki
14. Katibu Muhtasi
15. Wasaidizi wa Maktaba
16. Wasaidizi wa Ofisi
17. Madereva
18. Wapokezi