Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia

Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania

TLSB Logo TLSB Logo
Tafuta kwenye kwa
service image
Divisheni ya ufundi inajishughulisha na uandaaji, uagizaji, utayarishaji na usambazaji wa machapisho katika Maktaba za Mikoa, Wilaya na Tarafa. Pia inatoa huduma  kwa  Vyuo, Taasisi za Serikali na zisizo za Kiserikali, Shule (za Sekondari na Msingi) na  NGO’S ambao wamejiunga uanachama wa Maktaba. Pia Kutoa ushauri wa namna ya kuanzisha  Maktaba na jinsi ya kuziendeleza, na kusimamia usambazaji wa machapisho kwenda kwenye maktaba za Mikoa, Wilaya na Tarafa.