SIKU YA KIMATAIFA YA UMAHIRI
08 Sep, 2025
Pichani: Mkutubi Justine Kilenza akisimamia zoezi la chemsha bongo kwa wanafunzi walioshiriki Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Umahiri hii leo tarehe 8, Septemba 2025 katika Viwanja vya Maktaba ya Mkoa wa Morogoro.