Mkurugenzi Mkuu wa TLSB Dkt. Mboni Ruzegea, atafanya Mkutano na Waandishi wa Habari kuelezea Mafanikio na Mwelekeo wa Bodi katika Miaka Minne ya Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Mhe. Rais Dkt. Samia...
Chuo Cha Ukutubi na Uhifadhi Nyaraka- (SLADS) ni Chuo cha Serikali kinachoendeshwa na Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania chini ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia. Chuo kina usajili wa...