Wanafunzi 102 wa Shule ya Msingi Ulongoni ‘A’ kutoka Manispaa ya Ilala, mkoani Dar es Salaam, wametembelea Maktaba ya Taifa Posta kwa lengo la kujifunza kwa vitendo historia ya Tanzania ku...
Jamii imekubushwa kutumia Maktaba kujiongezea maarifa kwani Maktaba ni kitovu cha elimu endelevu na sio ghala la kuhifadhia vitabu pekee. Hayo yamesemwa leo tarehe 9 Septemba 2025 na Mkuu wa Wilaya y...
Pichani: Mkutubi Justine Kilenza akisimamia zoezi la chemsha bongo kwa wanafunzi walioshiriki Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Umahiri hii leo tarehe 8, Septemba 2025 katika Viwanja vya Maktaba ya...
MAADHIMISHO YA SIKU YA KIMATAIFA YA UMAHIRI (LITERACY) YAFANA Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania (TLSB) imeadhimisha Siku ya Kimataifa ya Umahiri (Li...
Pichani: Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi TLSB, Prof. Rwekaza S. Mukandala (Kulia) na Mkurugenzi Mkuu wa TLSB, Dkt. Mboni A. Ruzegea (Kushoto), wakiwa katika picha ya pamoja tarehe 24 Agosti, 2025 ka...
Waandishi wa vitabu nchini wametakiwa kuzingatia maudhui yanayoendana na mila, desturi na tamaduni za Kitanzania katika kazi zao za uandishi, ili kukuza utambulisho wa taifa na kuelimisha jamii kupiti...