Tasnia ya vitabu nchini inapaswa kulindwa na kutunzwa kwa gharama yeyote ile kwa ajili ya vizazi vya sasa na vijavyo. Hayo yamesemwa leo tarehe 26 Novemba, 2026 na Mgeni rasmi, ambaye pia ni Mkurug...
Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania (TLSB), Dkt. Mboni Ruzegea, leo tarehe 25 Novemba 2025 ameongoza semina muhimu kwa wakutubi, waandishi wa vitabu, wachapishaji na wadau wa elimu,...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi, amewataka waandishi wa vitabu nchini kuwa wabunifu katika kazi zao ili kuongeza hamasa ya usomaji na kudumisha amani na um...
Vijana nchini wametakiwa kujenga mazoea ya kutumia maktaba katika enzi hii ya mabadiliko na kukua kwa teknolojia hasa Akili Unde, ili kujiongezea ujuzi unaohitajika katika dunia ya sasa. Hayo y...
Wanafunzi 48 wa Shule ya Msingi na Awali ya Gosheni iliyopo Bunju ‘A’, wilaya ya Kinondoni, wamefanya ziara ya mafunzo katika Maktaba Kuu ya Taifa Posta, leo tarehe 24 Oktoba 2025, jijini...
Walezi na Watoto 57 kutoka Kituo cha Malezi na Makuzi ya Watoto Tumbi, kilichopo chini ya Shirika la Elimu Kibaha mkoani Pwani, wametembelea Maktaba ya Taifa Posta kujifunza umuhimu wa kusoma vitabu n...