Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Mhe. Omary Kipanga amezindua Kituo cha Wamerekani (American Affiliate Space) katika Maktaba ya Mkoa wa Dodoma tarehe 29 Mei, 2024. Akizungumza katika Ufu...
Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania (TLSB) imepokea msaada wa Kompyuta Mpakato (Laptop) 1, Projekta 2 na michezo aina saba ya watoto kwa ajili ya Divisheni ya Watoto na Shule vyenye thamani ya shilingi...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda, amefanya kikao na Kamati ya Kitaifa ya Tuzo za Taifa ya Uandishi bunifu ya Mwalimu Julius K. Nyerere, katika Ukumbi wa Mikutano wa Taasisi ya...
Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania (TLSB) Dkt. Mboni Ruzegea amewahimiza wanawake kunyanyuana katika maeneo ya kazi na kwingineko ili kujiletea maendeleo kwa mtu mmoja mmoja na taif...
Mkurugenzi wa Uendelezeji Taasisi Ofisi ya Rais, menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora ndugu Nolasco Kipanda, amewatunuku Wahitimu 196 Stashahada ya Ukutubi na Uhifadhi Nyaraka ya Chuo Cha U...
Mkurugenzi Mkuu wa TLSB Dkt. Mboni Ruzegea, amefungua maonesho ya vitabu yaliyofanyika katika Meli ya kimataifa ya LOGOS HOPE iliyotia nanga katika bandari ya Dar es Salaam, Ghati namba 2, tarehe 6 Ok...