Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia

Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania

TLSB Logo TLSB Logo
Tafuta kwenye kwa

Habari

...
MKUTANO WA WADAU KWA UHAKIKI WA MTAALA SLADS

Mwenyekiti wa Baraza la Chuo cha Ukutubi na Uhifadhi Nyaraka na Mkurugenzi Mkuu wa TLSB Dkt. Mboni Ruzegea, leo tarehe 11 Machi, 2025 amefungua Mkutano wa Wadau kwa kuhakiki Mtaala wa Chuo cha SLADS....

24 Apr, 2025
...
WAKUTUBI WATAKIWA KUTUMIA TEKNOLOJIA ZA KISASA KATIKA KUCHAK...

Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa Maendeleo ya Uongozi wa Elimu (ADEM) Dkt. Maulid J. Maulid amewataka Wakutubi kujifunza na kutumia teknolojia za kisasa katika kuchakata, kutayarisha na kuhifadhi taar...

24 Apr, 2025
...
SLADS YAFANYA KONGAMANO KUKUTANISHA ‘ALUMNAE’

Chuo cha Ukutubi na Uhifadhi Nyaraka (SLADS) kwa mara ya kwanza kimewakutanisha Wahitimu wa Chuo hicho (Alumnae) katika Kongamano lililofanyika tarehe 22 Novemba 2024, katika viwanja vya SLADS Bagamoy...

24 Apr, 2025
...
AMERICAN AFFILIATE SPACE YAZINDULIWA KATIKA MAKTABA YA MKOA...

Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Mhe. Omary Kipanga amezindua Kituo cha Wamerekani (American Affiliate Space) katika Maktaba ya Mkoa wa Dodoma tarehe 29 Mei, 2024. Akizungumza katika Ufu...

24 Apr, 2025
...
TLSB YAPOKEA MSAADA WA VIFAA NA MICHEZO KUTOKA SKY MOM YA TA...

Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania (TLSB) imepokea msaada wa Kompyuta Mpakato (Laptop) 1, Projekta 2 na michezo aina saba ya watoto kwa ajili ya Divisheni ya Watoto na Shule vyenye thamani ya shilingi...

24 Apr, 2025
...
PROF. MKENDA ATETA NA KAMATI YA KITAIFA YA TUZO ZA TAIFA YA...

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda, amefanya kikao na Kamati ya Kitaifa ya Tuzo za Taifa ya Uandishi bunifu ya Mwalimu Julius K. Nyerere, katika Ukumbi wa Mikutano wa Taasisi ya...

24 Apr, 2025