Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia

Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania

TLSB Logo TLSB Logo
Tafuta kwenye kwa

Majumuisho ya NBA


1.    COLLECTION YA HOTUBA ZA BUNGE TANGU 1965.
2.    COLLECTION  YA VITABU VYA MWLM NYERERE 1961
3.    HOTUBA ZA MARAISI 1965
4.    TANZANIA NOTES AND RECORDS 1938
5.    GAZETTE YA SERIKALI 1952
6.    SHERIA MBALIMBALI ZILOTUNGWA WAKATI WA  MKOLONI 1948
7.    MATOKEO YA MITIHANI FOMU FOUR TANGU MWAKA 1975
8.    MATOKEO YA VYUO VYA WALIMU TANGU MWAKA 1975
9.    VITABU VYA MAKABILA MBALIMBALI
10.    MAGAZETI TANGU 1917 HADI SASA
11.    ATLAS ZA MIKOA ,WILAYA,TAARAFA KABLA NA BAADA YA UHURU
12.    DIRECTORIES TANGU MWAKA 1979
13.    VITABU VYA UTANI RELATIONS 
14.    WASIFU MBALIMBALI ZA MARAISI NA MAWAZIRI WA AWAMU ZOTE
15.    COLLECTION YA EAST AFRICA EG (WHOS WHO IN EAST AFRICA.)
16.    VITAB U VYA KILIMO
17.    VITABU VYA SIASA
18.    VITABU VYA DINI MBALIMBALI
19.    VITABU VYA MAPISHI
20.    VITABU VYA UFUGAJI
21.    VITABU VYA FANI MBALIMBALI KIADA NA VISVYO VYA KIADA.
22.    VITABU VYA NUKTA NUNDU
23.    VITABU VYA STAFF LIST KUANZIA MWAKA 1962
24.    VITABU VYA CIRCULER YA UALIMU TANGU 1965
25.    SERA MBALIMBALI ZA TAASISI ZA SERIKALI NA ZISIZO ZA SERIKALI
26.    VITABU VYA TUME YA MABADILIKO  YA KATIBA
27.    KATIBA MBALIMBALI ZILIZOTUNGWA KUFUATANA NA VIKUNDI VYA WATU WANAOTAMBULIKA MFANO ENGOS/SACCOSS
28.    SERIAL PUBLICATION eg. JOURNALS.
29.    RESEARCH MBALIMBALI
30.    HUDUMA YA ISBN NA ISSN.
31.    HUDUMA YA BARCODE.