Umoja wa Wahitimu wa Chuo cha Ukutubi na Uhifadhi Nyaraka (SLADS ALUMNI) umekabidhi jumla ya Kompyuta Mpakato 11 kwa Chuo cha Ukutubi na Uhifadhi Nyaraka (SLADS) katika hafla iliyofanyika tarehe 20 De...
Chuo cha Ukutubi na Uhifadhi Nyaraka (SLADS) kwa kushirikiana na Wakala wa Maendeleo ya Uongozi wa Elimu (ADEM) wameingia katika Mkataba wa Makubaliano ya Kazi (MoU) unaolenga kuimarisha utoaji wa Maf...
Wakutubi nchini wametakiwa kubuni na kuimarisha mbinu mpya katika utekelezaji wa majukumu yao ili kutoa huduma kwa uweledi na ufanisi, hatua itakayowezesha jamii kunufaika kikamilifu na maarifa yaliyo...
Serikali imeonesha kwa vitendo kwamba Maktaba ni nyenzo muhimu ya kupunguza pengo la maarifa, kuongeza usawa wa fursa na kujenga uchumi wa kisasa wa viwanda, ubunifu na TEHAMA. Hayo yemesemwa ...
Jamii imetakiwa kutumia Maktaba kujifunza, kujielimisha, kujiongezea maarifa na ubunifu ili kuwa na jamii iliyoelimika na kufikia lengo la Dira 2050. Hayo yamesemwa tarehe 2 Desemba 2025 na Naibu K...
Tasnia ya vitabu nchini inapaswa kulindwa na kutunzwa kwa gharama yeyote ile kwa ajili ya vizazi vya sasa na vijavyo. Hayo yamesemwa leo tarehe 26 Novemba, 2026 na Mgeni rasmi, ambaye pia ni Mkurug...