Pichani: Mkutubi Justine Kilenza akisimamia zoezi la chemsha bongo kwa wanafunzi walioshiriki Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Umahiri hii leo tarehe 8, Septemba 2025 katika Viwanja vya Maktaba ya...
MAADHIMISHO YA SIKU YA KIMATAIFA YA UMAHIRI (LITERACY) YAFANA Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania (TLSB) imeadhimisha Siku ya Kimataifa ya Umahiri (Li...
Pichani: Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi TLSB, Prof. Rwekaza S. Mukandala (Kulia) na Mkurugenzi Mkuu wa TLSB, Dkt. Mboni A. Ruzegea (Kushoto), wakiwa katika picha ya pamoja tarehe 24 Agosti, 2025 ka...
Waandishi wa vitabu nchini wametakiwa kuzingatia maudhui yanayoendana na mila, desturi na tamaduni za Kitanzania katika kazi zao za uandishi, ili kukuza utambulisho wa taifa na kuelimisha jamii kupiti...
Menejimenti ya TLSB na Uongozi wa Maktaba ya Jamii Bustani iliyoko Rombo mkoani kilimanjaro, wamekutana leo tarehe 31 Julai, 2025 katika Ukumbi Mkuu wa Mikutano TLSB Dar es salaam, katika kikao...
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt. Hussein Mohamed Omar ametembelea Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania (TLSB) Makao Makuu Dar es Salaam leo tarehe 22 Julai, 2025 kujionea...
Mkuu wa Chuo cha Ukutubi na Uhifadhi Nyaraka yaani School of Library Archives and Documentation Studies (SLADS) kilichopo Bagamoyo na Dar es salaam, anapenda kuwakaribisha wahitimu wote wa m...