Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia

Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania

TLSB Logo TLSB Logo
Tafuta kwenye kwa
service image
Divisheni ya watu wazima (RSD) hutoa huduma ya usomaji kwa watu wazima na miongozo mbalimbali ikiwemo jinsi ya kuanzisha, kuendesha na kutumia Maktaba nchini. VITENGO KATIKA DIVISHENI i.    Kitengo cha Uazimishaji  (Lending) ii.   Kitengo cha Kumbukumbu (Reference Services) iii.  Kitengo cha Vitabu vya Kiada  iv.  Maktaba ya Wasioona (Library for Blind) v.   Maktaba ya Ilala  vi.  Kona ya Afya (Health Corner)