Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia

Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania

TLSB Logo TLSB Logo
Tafuta kwenye kwa
TANGAZO LA UDAHILI WA MASOMO CHUO CHA UKUTUBI NA UHIFADHI NYARAKA (SLADS) KWA MWAKA WA MASOMO 2025/2026
20 Jun, 2025
service image
TANGAZO! Mkuu wa Chuo cha Ukutubi na Uhifadhi Nyaraka (SLADS) anakaribisha maombi ya kujiunga na Chuo kwa kozi za Ukutubi, Uhifadhi Nyaraka na ICT kwa mwaka wa masomo 2025/2026. Nyote mnakaribishwa!