Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia

Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania

TLSB Logo TLSB Logo
Tafuta kwenye kwa
Profesa Rwekaza Sympho Mukandala
Mwenyekiti wa Bodi
Siku ya Juma Muda
Jumapili & Sikukuu   Closed/Imefungwa
Jumamosi   9:00AM-2:00PM
Jumatatu - Ijumaa   9:00AM-07:00PM

Dira Yetu

Kuwa Taasisi ya umma inayoongoza nchini katika kutoa na kusambaza taarifa mbalimbali kwa njia ya vitabu, machapisho na teknolojia ya kisasa kupitia mt...

Dhamira

Kutoa na kusambaza huduma sahihi kwa watu wote kwa wakati muafaka ili kuendeleza kisomo, kujiburudisha na kuendeleza utamaduni kwa jamii. Pia kukusany...

Mamlaka Yetu

TLSB ni chombo kilichopewa mamlaka ya kisheria ya kupata, kupanga, na kusambaza, taarifa katika nyanja zote za maisha. Maarifa yaliyokusanywa kupitia...

Huduma Zetu

...
DIVISHENI YA UFUNDI

Divisheni ya ufundi inajishughulisha na uandaaji, uagizaji, utayarishaji na usambazaji wa machapisho katika Maktaba za Mikoa, Wilaya na Tarafa. Pia inatoa huduma  kwa  Vyuo, Taasisi za Serik...

...
KITENGO CHA WATOTO WADOGO NA SHULE ZA MSINGI

Divisheni ya Watoto na Shule (CSSD) hutoa huduma kwa watoto na wanafunzi, pia inahusika kutoa mwongozo katika uanzishaji wa maktaba za shule na vyuo, na kutembelea shule kuanzia za awali, msingi...

...
KITENGO CHA BIBLIOGRAFIA YA TAIFA (NATIONAL BIBLIOGRAPHICAL...

Kitengo cha Bibliografia ya Taifa ni  sehemu ya Maktaba ya Taifa ambayo inatekeleza  majukumu yafuatayo: •    Kuelimisha wachapishaji wa ndani juu ya namna bora ya k...

...
HUDUMA ZA USOMAJI KWA WATU WAZIMA (READERS SECTION DIVISION...

Divisheni ya watu wazima (RSD) hutoa huduma ya usomaji kwa watu wazima na miongozo mbalimbali ikiwemo jinsi ya kuanzisha, kuendesha na kutumia Maktaba nchini. VITENGO KATIKA DIVISHENI i. &n...

Maktaba Mtandao

...
Sayansi na Tecknolojia

Kitabu hiki ni cha tano katika mfululizo wa vitabu vitano vya somo la Sayansi na Teknolojia kuanzia Darasa la Tatu hadi la Saba. Kitabu hiki kimeandaliwa kulingana na muhtasari wa somo la Sayansi na T...

10 Nov,2022
...
Kidato cha 5 & 6 - Basic Applied Mathematics

Title: Basic Applied Mathematics Form5 & 6 Author: Tanzania Institute of Education Publisher of Book: Tanzania Institute of Education Year of publication: 2019 Country of Publication:...

09 Nov,2022
...
Jiografia kwa Shule ya Sekondari

Author: Tanzania Institute of Education Publisher of book: Tanzania Institute of Education Year of publication: 2019 Country of Publication: Dar es salaam, Tanzania   The book is d...

09 Nov,2022
...
Chemistry

Author: Tanzania Institute of Education Publisher of book: Tanzania Institute of Education Year of Publication: 2021 Country of Publication: Dar es salaam, Tanzania This textbook, Chemistr...

19 Oct,2022

Habari Mpya

...
WAAJIRIWA WAPYA TLSB WAASWA KUZINGATIA SHERIA NA KANUNI ZA U...

Waajiriwa wapya wapatao 51 wameaswa kuzingatia Sheria, Kanuni na taratibu za Utumishi wa Umma ili kutekeleza majukumu yao ya kila siku kwa weledi  na ufanisi. Hayo yamesemwa tarehe 07 Mei, 202...

08 May, 2025
...
TLSB YAADHIMISHA MEI MOSI 2025

TLSB imeshiriki maadhimisho ya Mei Mosi Kitaifa yaliyofanyika katika viwanja vya Bombadia Mkoani Singida tarehe 1 Mei, 2025. Katika maadhimisho hayo, Watumishi wa TLSB Maktaba ya Mkoa wa Sin...

05 May, 2025
...
PROF. MUKANDALA ATETA NA WAJUMBE WAPYA WA BODI TLSB

Wajumbe wapya wa Bodi ya Wakurugenzi TLSB wametakiwa kufanya kazi kwa bidii na kuletea Bodi mafanikio kwani wamepewa dhamana kubwa na kuaminiwa kushika nafasi hizo. Hayo yamesema na Mwenyekiti wa B...

29 Apr, 2025
...
TLSB YAPOKEA UGENI KUTOKA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR

Kamati ya Kudumu ya Ustawi wa Jamii ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mhe. Sabiha Filfil Thani, imefanya ziara katika ofisi za Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania (TLSB) M...

28 Apr, 2025